T tondoli JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 207 Reaction score 51 Jul 21, 2014 #1 Tafadhali kwa wale wenye uzoefu wa masters zinazotolewa kwa njia ya masafa marefu, je huwa vyeti vyake vinatambulika na serikali yetu? Tafadhali napenda kujua, chuo chenyewe ninachotaka kusoma ni nicosia university. Kipo cyprus.
Tafadhali kwa wale wenye uzoefu wa masters zinazotolewa kwa njia ya masafa marefu, je huwa vyeti vyake vinatambulika na serikali yetu? Tafadhali napenda kujua, chuo chenyewe ninachotaka kusoma ni nicosia university. Kipo cyprus.