Msaada: Masters ya Kiswahili nchini Kenya

Msaada: Masters ya Kiswahili nchini Kenya

steveson manumbu

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
887
Reaction score
178
mimi ni mwanalugha hasa lugha ya kiswahili .
kwa sasa naona fursa za kufundisha lugha kwa wageni kwetu hapa adimu sana.
hivyo nataka nikasome mastez yake kenya na nitafute huko fursa. mwenye uelewa msaada tadfadhari!
 
Back
Top Bottom