karibu sana! Kuna kilakitu binadamu anachoitaji. Hata kitimoto kama nimdau utapata! Maji ni shida kidogo na umeme ni mgao wa mdamrefu ingawa hautangazwi lakini utazoea usijali.

kiongozi kutoka shinyanga kwenda bariadi nauli ni elfu nane! sasa kutoka shinyanga kwenda maswa inaweza kuwa elfu tano au sita! sijawahi tumia public transport kwa njia hii lakini usafiri upo wa kutosha!