Habari zenu nyote wana jukwaa kimatumizi ya mtandao sio mzuri saana,lakini nimeshawishika kuleta ombi langu kwenu ili niweze kupata jibu litakalo niwezesha kufanya maombi ya TIN kwa ajili ya kampuni yangu nilio isajili hivi karibuni.
kwa yeyote anaweza kunipa muongozo masuala ya kodi yanakua je nitashukuru sana endepo nitapata msaada.