Msaada maswali ya interview ya nafasi ya Field Attendant ambayo sifa yake ni Form Four

uswekweni

Senior Member
Joined
Aug 21, 2024
Posts
141
Reaction score
195
Poleni na majukumu ndagu zangu. Nime-aplly kazi katika taasisi ya taliri ambayo inajihusisha na utafiti wa rasilimali za mifugo na mamlaka ya viwanja vya ndege TAA kupitia sekretarieti ya ajira sasa ninaomba kupta tips ya maswali yake ya interview hasa kwenye usaili wa kuandika.

Nini natakiwa kujiandaa nacho. Tafadhalini nisaidieni nianze kujiandaa hapa. Nafasi hizi sifa yake ni cheti cha form four tu.
 
umekuwa selected forinterview?
 
Back
Top Bottom