Msaada matatizo ya macho

Msaada matatizo ya macho

mamseri

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
707
Reaction score
292
Wana jf wote habari za leo, mi ninaishi Arusha kuna mtoto wangu macho yanawasha sana amesugua mpaka ngozi ya macho umechubuka. Sasa sijui tatizo ni nini naombeni kujua clinic nzuri ya macho hapa Arusha niweze kumpeleka. Natanguliza shukrani zangu.
 
mamseri jitahidi nenda pale Mt.Meru hospital kwa mama mmoja nesi anaitwa Mwanaidi,ni daktari mzuri sana wa macho na sasa kuna vifaa vizuri.
 
Last edited by a moderator:
Muwahishe hospital mie nilikua na tatizo hilo la kuwashwa macho na kichwa kuuma nkapewa miwani now tatizo halipo tena
 
Back
Top Bottom