mamseri JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 707 Reaction score 292 Mar 20, 2015 #1 Wana jf wote habari za leo, mi ninaishi Arusha kuna mtoto wangu macho yanawasha sana amesugua mpaka ngozi ya macho umechubuka. Sasa sijui tatizo ni nini naombeni kujua clinic nzuri ya macho hapa Arusha niweze kumpeleka. Natanguliza shukrani zangu.
Wana jf wote habari za leo, mi ninaishi Arusha kuna mtoto wangu macho yanawasha sana amesugua mpaka ngozi ya macho umechubuka. Sasa sijui tatizo ni nini naombeni kujua clinic nzuri ya macho hapa Arusha niweze kumpeleka. Natanguliza shukrani zangu.
nemulo JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,589 Reaction score 440 Mar 20, 2015 #2 mamseri jitahidi nenda pale Mt.Meru hospital kwa mama mmoja nesi anaitwa Mwanaidi,ni daktari mzuri sana wa macho na sasa kuna vifaa vizuri. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mamseri jitahidi nenda pale Mt.Meru hospital kwa mama mmoja nesi anaitwa Mwanaidi,ni daktari mzuri sana wa macho na sasa kuna vifaa vizuri.
Tabrett JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 522 Reaction score 338 Mar 21, 2015 #3 Muwahishe hospital mie nilikua na tatizo hilo la kuwashwa macho na kichwa kuuma nkapewa miwani now tatizo halipo tena
Muwahishe hospital mie nilikua na tatizo hilo la kuwashwa macho na kichwa kuuma nkapewa miwani now tatizo halipo tena