Msaada matibabu ya Apendex

Msaada matibabu ya Apendex

Majan

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
1,271
Reaction score
1,828
Habari za leo wakuu,

Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji.

Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo
 
Habari za leo wakuu,

Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji.

Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo
Mkuu pole sana kwa maradhi yako ya kidole tumbo aka Apendex nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako.Uguwa pole.
 
Habari za leo wakuu,

Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji.

Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo
Mmmh appendix ionekane kwenye ultrasound? Nenda hospitali nyingine kapime kupata uthibitisho Mkuu
 
Mleta mada nendabhospitali kubwa kafanyiwe upasuaji.HAKUNA MITISHAMBA KWA APPENDIX
 
operation mkuu na gharma ni kati 15k to 30k kwa hospitali za serikal
 
Back
Top Bottom