Msaada:Matibabu Ya Malaria Kali kwa Mtu Mwenye Sukari Ya Kupanda.

Msaada:Matibabu Ya Malaria Kali kwa Mtu Mwenye Sukari Ya Kupanda.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Hello drs naomba Tujadili kidogo kuhusu Matibabu ya Malaria Kali kwa mtu mwenye sukari ya Kupanda.

Kuhusu Guideline ya Tanzania Wamegawa matibabu ya Malaria kwenye magroup matatu
  1. Kwa Wajawazito
  2. Uncomplicated malaria
  3. Complicated malaria

Complicated malaria kuna dawa kama Quinine Injection,Artesunate injection na Artemether injection

Msaada wangu ni matibabu Ya malaria kwa Mtu mwenye Sukari ya Kupanda(Diabetic Mellitus,DM) hasa kuhusu dawa ya Quinine Injection tunajua kwamba Quinine inasababisha sukari ya kushuka(hypoglycaemia) ndio maana inachanganywa kwenye Glucose (D5%) na mtu mwenye Sukari Glucose Sio nzuri kwake.

Je Mtu kama huyu Tunatumia Fluid gani kuchanganya na Inj Quinine Katika Matibabu Yake?Glucose(D5%) Au Normal Saline(Ns)?

Kuhusu kutoa Quinine inj I/m route hapana Naomba tuangazie zaidi kwa Njia ya Mshipa(Iv)

Karibuni.
 
Back
Top Bottom