Msaada: Matibabu ya meno

Msaada: Matibabu ya meno

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
630
Reaction score
257
Habari ndugu zangu,miaka 10 iliyopita Jino la mwisho taya la chini 'wisdom tooth ,lilimeguka nikaenda muhimbili wakapiga xray.

Lilikuwa limeota vibaya kitaalamu (horizontal 3 molar cimpaction),baada ya madoctor kusoma ile xray wakaanza kulidiscuss kwa muda mrefu.

Kama vile tatizo nikubwa nikasikia wanasema lazima waniingize Minor Theatre.Nikaondoka sikurudi tena.

Sasa lile jino limeanza tena baada ya muda wote huo.Nifate clinical procedures zipi zitakazonisaidia?

Kuhusu Hosp nzuri za meno na diagnosi nzuri.
 
Disimpaction
 
Yaani uliwakimbia wataalamu waliobobea na wenye vifaa vya uchunguzi waliokua wanajadili namna ya kukusaidia?..sasa umekuja hapa kutafuta ushauri kwa watu ambao hata huwajui!! Ama kweli akili hizi kila mtu ana zake
 
Back
Top Bottom