Msaada matibabu ya mtoto wa jicho (cataract)

Msaada matibabu ya mtoto wa jicho (cataract)

ejom

Member
Joined
Jan 19, 2009
Posts
28
Reaction score
4
Nipo Mbeya baba yangu anashida ya mtoto wa jicho (cataract) na sina uwezo wa kufika Dar es salaam CCBRT naomba msaada kwa yeyote anyejua wapi naweza kupata matibabu ya baba yangu hapa Mbeya
 
Mpeleke baba akafanyiwe operation hamna dawa nyingine! Pole
 
Back
Top Bottom