E ejom Member Joined Jan 19, 2009 Posts 28 Reaction score 4 Feb 20, 2013 #1 Nipo Mbeya baba yangu anashida ya mtoto wa jicho (cataract) na sina uwezo wa kufika Dar es salaam CCBRT naomba msaada kwa yeyote anyejua wapi naweza kupata matibabu ya baba yangu hapa Mbeya
Nipo Mbeya baba yangu anashida ya mtoto wa jicho (cataract) na sina uwezo wa kufika Dar es salaam CCBRT naomba msaada kwa yeyote anyejua wapi naweza kupata matibabu ya baba yangu hapa Mbeya
Dr-Rick Member Joined Feb 15, 2013 Posts 48 Reaction score 18 Feb 22, 2013 #2 Mpeleke baba akafanyiwe operation hamna dawa nyingine! Pole