grand gazelle
Senior Member
- Jun 25, 2017
- 118
- 178
Ni mwanamke na ilianza tu ghaflahuyo rafiki yako ni mwanamke au mwanaume hiyo nyonga ilisababishwa na kuanguka au ilianza tu yenyewe taratibu ghafra
Asante, haya mafuta tunawezaje kuyapata?Atafute mafuta ya karafuu achue panapomuuma au mafuta ya mlonge
Kwenye maduka ya dawa yakihindi utayapata au kwenye masoko makubwa wanapouza viungoAsante, haya mafuta tunawezaje kuyapata?
Asante mkuu, hapa bongo hatuwezi pata matibabu? Coz India parefu na vyuma vimekaza sanaAnalo tatizo nashauri aende India. Zeydus hospital wana Dr bingwa ambae Huwa unakuja Dar periodically. Alimtibu Mbatia
Asante Mungu akubarikiMafuta ya karafuu kwenye maduka ya dawa za asili, nunuen na habat sauda (black seed) awe anakunywa.
Polen sana.
Mafuta ya karafuu kwenye maduka ya dawa za asili, nunuen na habat sauda (black seed) awe anakunywa.
Polen sana.
Asante mamaKwenye maduka ya dawa yakihindi utayapata au kwenye masoko makubwa wanapouza viungo
Kama unafahamu matibabu plz tusaidieUsiombe ikupate hiyo issue
Amesema awe anapakaMafuta ya karafuu ni makali sana simshauri kunywa
Naelewa maumivu yake,mama yangu kabla hajaambiwa dawa alikuwa ananisugumu kwenye nyonga na kitunguu maji,japo nilikuw napata maumivu ila ilisaidiaKama unafahamu matibabu plz tusaidie
Ulipona kabisaNaelewa maumivu yake,mama yangu kabla hajaambiwa dawa alikuwa ananisugumu kwenye nyonga na kitunguu maji,japo nilikuw napata maumivu ila ilisaidia
Nimepona kabisa baada ya kupata matibabu hayo niliyokwambiaUlipona kabisa
Asante mkuu, kesho tu naenda kuyatafuta hayo mafutaNimepona kabisa baada ya kupata matibabu hayo niliyokwambia