Msaada: Matibabu ya Pelvic floor muscles baada ya kujifungua

Msaada: Matibabu ya Pelvic floor muscles baada ya kujifungua

kankara

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
25
Reaction score
17
Habar wana JF, mke wangu alijifungua miezi mitano iliyopita (mwez wa 7) na akaongezewa njia kwa kua njia ilikua ndogo baada ya hapo aya maumivu hayajakoma akigusa ilo eneo anapata maumivu nin tufanye maana hospital walisema yataisha yenyewe
 
Miezi mitano michache bado atakua anapata maumivu, hapo jitahidi kuepuka show za kibabe hadi apone vizuri
 
Back
Top Bottom