kankara Member Joined Jul 19, 2014 Posts 25 Reaction score 17 Nov 14, 2017 #1 Habar wana JF, mke wangu alijifungua miezi mitano iliyopita (mwez wa 7) na akaongezewa njia kwa kua njia ilikua ndogo baada ya hapo aya maumivu hayajakoma akigusa ilo eneo anapata maumivu nin tufanye maana hospital walisema yataisha yenyewe
Habar wana JF, mke wangu alijifungua miezi mitano iliyopita (mwez wa 7) na akaongezewa njia kwa kua njia ilikua ndogo baada ya hapo aya maumivu hayajakoma akigusa ilo eneo anapata maumivu nin tufanye maana hospital walisema yataisha yenyewe
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 70,916 Reaction score 141,437 Nov 15, 2017 #2 Miezi mitano michache bado atakua anapata maumivu, hapo jitahidi kuepuka show za kibabe hadi apone vizuri
Miezi mitano michache bado atakua anapata maumivu, hapo jitahidi kuepuka show za kibabe hadi apone vizuri