Msaada; matiti kwa mwanaume

The Tan-talizer

Senior Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
160
Reaction score
60
Kwa kawaida wanaume wengi katika kipindi cha balehe katika chuchu zao kwa ndani huota vimatiti vyenye kama viringi au ugumu flani!! Sasa ugumu ule unapodumu muda mrefu husababisha mwanaume kuwa kama anamatiti...!! Kwa msaada wa wote anayejua naomba asaidie ni njia gani mtu anaweza fanya vitu hivyo viondoke maana kuna mtu wangu wa karibu vinamkosesha raha kwa kweli!! Nawasilisha wanajamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…