Nimehitimu diploma katika chuo cha kati cha private fani ya mifugo mwaka 2022.
Baada ya matokeo kutoka mimi pamoja na wenzangu (classmates) tukiangalia verification zetu NACTE tunaonekana tumeishia kusoma mwaka wa 1 semister 1.
Tukiulizia chuo tunaambiwa wao chuo matokeo tayari walishapeleka Nacte ila tukienda nacte wao wanatujibu hawajapokea matokeo toka chuoni kwetu kwa muda mrefu.
Tunawaza kuchukua hatua za kisheria ila hatujui ni wapi hasa tunaanzia, tunaomba ushauri wenu mwenye uelewa na hili ni wapi tunaweza kupatiwa usaidizi wa kisheria ili tupate haki yetu.
Ahsante!