Rashford Lingard
JF-Expert Member
- Feb 9, 2018
- 938
- 1,150
Kwa anayefahamu matumizi ya mafuta ya Khadar tafadhali.
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukiyachambua mafuta ya khardal yana matumizi mengi mnooo, unaweza kutuambia wewe ulikua wataka ktumia kwa tatizo gani ili nikuelekeze namna ya kutumia?Kwa anayefahamu matumizi ya mafuta ya Khadar tafadhali.
Naomba kuwasilisha.
Kwa maumivu ya misuliMkuu ukiyachambua mafuta ya khardal yana matumizi mengi mnooo, unaweza kutuambia wewe ulikua wataka ktumia kwa tatizo gani ili nikuelekeze namna ya kutumia?
Changya humo menthol na tymol kisha uwe unachua kwayo kutwa mara 3Kwa maumivu ya misuli