Msaada matumizi ya neno mukktadha

Msaada matumizi ya neno mukktadha

Naombeni mnifundishe maana na matumizi kw a kupatiwa sentensi ya neno muktadha

Mazingira (context).

Mfano,
Somo la Kiswahili nilipata ufaulu wa alama D, kwa muktadha huo, usizingatie sana au kutilia maanani ushauri wangu kuhusu swali lako.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

MÊmENtO HoMO
 
Naombeni mnifundishe maana na matumizi kw a kupatiwa sentensi ya neno muktadha


Muktadha ni jambo linalozungumziwa katika habari, hadithi, simulizi, maigizo nk, mfano; 1---"Fisi wengi wameonekana wakiranda maeneo ya sokoni wakijitafutia masalia ya minofu ya nyama na mifupa"

2----"Ng'ombe wengi msimu huu wamekonda kwasababu ya kukosekana kwa majani ya kutosha"

Hizi ni habari mbili zenye Muktadha tofauti, hivyo unaweza kusema Muktadha ni maudhui (context).
 
Back
Top Bottom