O.k sawa. So kama umeoa/olewa haina ulazima wa kumuweka mwenza wako akawa NOK.?!Hapana
Ila ni mtu wa karibu na wewe
Yaweza kuwa mwana familia au la
Sent using Jamii Forums mobile app
O.k sawa. So kama umeoa/olewa haina ulazima wa kumuweka mwenza wako akawa NOK.?!
Mkuu hapo ndio shida ilipo.
Kama una mjomba wako muandike hapo kwenye NEXT OF KINMkuu hapo ndio shida ilipo.
In short mie na wife tuna kimgogoro ktk tafsiri ya hilo neno "Next of Kin". Mie huwa simuwekagi yeye hata kidogo kuwa my next of kin kwa kuwa namjua madhaifu yake mengi tu ktk upokeaji wa taarifa kunihusu mie na hata ndugu ama jamaa zake. Sasa hv karibuni amekuta nyaraka za manunuzi ya kiwanja kwa awamu sehemu ya next of kin ni braza wangu. Amekasirika sana na anasema kuwa incase nikifa basi mrithi wa kile kiwanja atakuwa ni kaka yangu. Kila nikimulewesha haelewi anasema mie napendelea ndugu zangu kuliko yeye..
Wenzi wetu wa ndoa kuwaandika ni kujitengenezea tatizo.?!Nijuavyo next of kin anatakiwa awe ndugu yako wa damu,au ndugu wa karibu ambapo pamoja na mambo mengine ndiye atakua mmiliki au mrithi wa mali zako au mafao pindi unapokua umefikia tamati ya uhai wako.Hivyo watu wengi huwaandika watoto, wazazi,kaka,dada ama hata mjomba na shangazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanaweza kudharau mada kama hii lakini itawaelimisha wengiHili neno huwa linatumika sana katika wakati wa ujazaji wa nyaraka mbalimbali mf. Mikataba ya ajira,hospitalini,mauziano ya vitu n.k.
Swali langu naomba kuelimishwa "implication" yake hasa ktk mikataba mbalimbali,je huyo anayekuwa NOK ndio atakuja kuwa mrithi wako pindi utapofariki.?!
Mali na mafao yote atasombea kwao ama kwa mwanaume mwingine na kuwaacha wazazi wako wasiambulie chochote kitu.Upande wangu watoto na wazazi ndo nawapa kipaumbele.Mwanamke (mke) yeye anatakiwa aambulie kiduchu kwa sababu baada ya hapo atapata mwenza mwingine.Wenzi wetu wa ndoa kuwaandika ni kujitengenezea tatizo.?!
Ndugu wa karibu anayekufahamu vizuri, haimpi haki ya mirathi.Hili neno huwa linatumika sana katika wakati wa ujazaji wa nyaraka mbalimbali mf. Mikataba ya ajira,hospitalini,mauziano ya vitu n.k.
Swali langu naomba kuelimishwa "implication" yake hasa ktk mikataba mbalimbali,je huyo anayekuwa NOK ndio atakuja kuwa mrithi wako pindi utapofariki.?!