Ni kipimo gani ulifanyiwa mkuu ni cha mkojo au ultrasound? Na vp operation ilifanyika kwenye korodani au?Nilikuwa na tatizo kama.hilo mwezi Wa tisa Mwaka Jana nikafanyiwa kipimo pale Agha Khan na kugundulika Nina (stone kidneys) ambapo ilibidi kufanyiwa procedure (operation) ili kuondoa hizo makitu
Ni kipimo gani ulifanyiwa mkuu ni cha mkojo au ultrasound? Na vp operation ilifanyika kwenye korodani au?
Samahani kwa maswali mkuu.[/QUOTE
CT Scanner mkuu
Operation ilifanyika kwà kupitia njia ya mkojoNi kipimo gani ulifanyiwa mkuu ni cha mkojo au ultrasound? Na vp operation ilifanyika kwenye korodani au?
Samahani kwa maswali mkuu.
Lakini wewe korodani yako ilikuwa haiumi etiOperation ilifanyika kwà kupitia njia ya mkojo
Ureterescope kitu kama hicho c unajua fani ina wenyeweOperation ilifanyika kwà kupitia njia ya mkojo
Nenda Tabata opposite nashkuru jua usioyajuaNashkuru sema
N
[inaQUOTE="Clarity, post: 15165412, member: 24516"]Sasa kwa kesi ya mleta mada kama ameshavuka miaka 38 ni bora akaQUOTE="Jua usiyoyajua, post: 15165266, member: 330568"]Nenda Tabata opposite na Tanesco pale kwenye nguzo nyingi za umeme uliza Dispensary ya Mgiriki atakusaidia sana kaka. He is good.
Yupo wazi saa 5 asubuhi hadi 12 jioni
Nashkuru kwa ushaur ngoja nianze doz ya majiTatizo lako ni UTI.. utakunywa dawa sana lakini hauponi..dawa ni moja tu..kunywa maji..nina uhakika ni hili ninalolisem..mimi nilisumbuka sana..lakini nilipona
anza leo kunywa maji angalau lita 1 na nusu au mbili kila siku..ata kama hupendi kunywa maji lazimisha kama dawa..ukienda kazini beba maji nenda nayo..hakikisha unakunywa maji ya kutosha utapona..ata kama ulikuwa unapata homa za mara kwa mara nazo zitakwisha kabisa..