ngoja waje mkuu naamini watakusaidiaMkuu namuandaa vizuri sana.tatizo linakuja baada ya kumaliza tendo.
Mkuu hana uke mkavu,isitoshe huwa namuandaa vizuri.na Tatizo limeibuka mwanzo hakuwa naloWakati wa kufanya halalamiki kuwa unamuumiza? Kama huwa analalamika huwenda iawa humwadai vyema na uke wake huwa mkavu au huwa unamwandaa vilivyo sema kwa asili yake uke ni mkavu tu ndio maama anaumia
Jaribu kutafuta kilainishi wakati wa tendo uone kama hali itakuwa hivyo hivyo
Ila kama. Uke wake hutoa maji ya kutosha na bado analalamika swala hilo kwangu litakuwa limenipita uwezo hivyo nitakaa hapa kusubiri majibu ya wataalamu wa mambo haya.
Asante mkuu kwa ushauri wakoKitaalam wanawake Kama hao wanaitwa vaginism maana yake njia yake iko tightness due to muscular contractions na ili hiyoo hali iishe inabidii afanyiwe curratege dilation, vaginal yake iwe smooth ajickie enjoyable wakati wa tendo la ndoa nakshauri muone mtaalam wa matatizo ya wanawake anaitwa gynecologist if possible. Co kila tatizo ni prepation
mkuu lugha yako ngum tumia kiswahil tasahaKitaalam wanawake Kama hao wanaitwa vaginism maana yake njia yake iko tightness due to muscular contractions na ili hiyoo hali iishe inabidii afanyiwe curratege dilation, vaginal yake iwe smooth ajickie enjoyable wakati wa tendo la ndoa nakshauri muone mtaalam wa matatizo ya wanawake anaitwa gynecologist if possible. Co kila tatizo ni prepation