Msaada: Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

Seek medical consultant mamaa...maana hiyo hali inaweza sababishwa na mambo mengi sana
 
Au unajini Mahaba ambalo linataka lifanye na ww tu ,akiona umekutana na mwenzio anakuletea maumivu,
 
Au unajini Mahaba ambalo linataka lifanye na ww tu ,akiona umekutana na mwenzio anakuletea maumivu,

Mmh sidhani,I do pray ,situmii Sana urembo wala manukato,sio mtu wa starehe,sometime i surround myself with annointed people lingekuwa lishalipulika,i blv it can't stay in this body
 
Jaribu kuwaona madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake kama upo Dar wapo wengi kama Dr Shafik wa Aga Khan na wengineo wakufanyie vipimo kuweza kugundua tatizo lako.Je unapata siku zako vizuri?
 
Jaribu kuwaona madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake kama upo Dar wapo wengi kama Dr Shafik wa Aga Khan na wengineo wakufanyie vipimo kuweza kugundua tatizo lako.Je unapata siku zako vizuri?

Asante,ila siku ziko vizuri na nkiwa kwenye siku huwa sipati maumivu Sana,ni yale ya kawaida tu tena sijawahi kutumia dawa za maumivu nkiwa period....
 
Wapo wengi pia waliokua wakiongea kama ww,anyway tusibez saana nenda hospitali mapema uliwah hilo tatizo kabla halijaota mizizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…