Msaada: Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

Sory kuna wengne wakimaliza ck zao huwa wakikutana na wenza wao hutokea tatizo hilo......bt kama akikalibia kuanza siku zake maumiv hayo huwa hayasikii akishriki tendo la ndoa sasa mi sjajua linakutokea wakt upi kat ya hayo niliyokuambia????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…