Hili tatizo limemsumbua sana mama yangu, alishaenda mpk bugando lkn vipimo havikuonesha ugonjwa wowote. Tulichoamua ni kuangalia upande wa pili wa tiba yaan kutafuta tiba za jadi. Kwa sasa ana nafuu kubwa sana hata anaweza kufanya na shughuli zake.Habari zenu wakuu, Dada yangu anasumbuliwa sana na maumivu makali sana ya mguu na mkono,wakati mwingine yanapelekea mguu au mkono kuwa na ganzi na mara nyingine kuvimba. Amejaribu kwenda hospital kadhaa ila anaonekana hana tatizo. Wakuu naombeni mnisaidie kama kuna hospital inayoweza msaidia au tiba gan inaweza msaidia
Tiba za jadi miti shamba au ?Hili tatizo limemsumbua sana mama yangu, alishaenda mpk bugando lkn vipimo havikuonesha ugonjwa wowote. Tulichoamua ni kuangalia upande wa pili wa tiba yaan kutafuta tiba za jadi. Kwa sasa ana nafuu kubwa sana hata anaweza kufanya na shughuli zake.
Yes, mitishambaTiba za jadi miti shamba au ?
Ttizo hili ni la mda ganiHabari zenu wakuu, Dada yangu anasumbuliwa sana na maumivu makali sana ya mguu na mkono,wakati mwingine yanapelekea mguu au mkono kuwa na ganzi na mara nyingine kuvimba. Amejaribu kwenda hospital kadhaa ila anaonekana hana tatizo. Wakuu naombeni mnisaidie kama kuna hospital inayoweza msaidia au tiba gan inaweza msaidia
Ni mda mrefu sasa lilianza kidogo kidogo kama miaka 7 nyuma kwa kuumwa magoti ,akaambiwaga ni barid abisi ila mwaka juz ndo akaanza kuumwa upande mmja tu kuanzia kwenye mguu mpaka begani na wakat mengine anasema inapanda mpaka kichwanTtizo hili ni la mda gani
Mkuu mgonjwa anaendeleaje hili tatizo linanisumbua na mmNi mda mrefu sasa lilianza kidogo kidogo kama miaka 7 nyuma kwa kuumwa magoti ,akaambiwaga ni barid abisi ila mwaka juz ndo akaanza kuumwa upande mmja tu kuanzia kwenye mguu mpaka begani na wakat mengine anasema inapanda mpaka kichwan