msaada maumivu ya jino.

msaada maumivu ya jino.

famba

Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
71
Reaction score
4
Wana jf nasumbuliwa na jino, linauma hasa nyakati za usiku, nimeshang'oa moja. Je naweza nikatumia dawa na jino likapona bila kwenda kuling'oa?
 
Back
Top Bottom