Msaada::maumivu ya joints za mifupa.

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,786
Reaction score
5,963
wakuu salama.?

kuna shangazi yangu analalamika sana kuhusu maumivu ya jointsi mwilini mwake..
haswa zile za vidoleni na mikono kwa ujumla..

mwenye ufahamu,pliz nahitaji msaada wenu ili nimsaidie..

SABABU INAWEZA KUA NI IPI.?
TIBA YAKE.?
MADHARA YAKE KAMA IKIENDELEA..
ACHUKUE HATUA GANI ZA HARAKA.?

Cc:: MziziMkavu Fadhili Paulo and other members..
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa shangazi yako anaye lalamika huo

Ugonjwa wa Maumivu ya viungo. Maumivu ya viungo yanasababishwa na matatizo mengi tu hujatuambia shangazi yako

Je Alishakwenda Hospitali?Na kama alikwenda hospitali wali muambia ana matatizo gani Ma-Daktari? Je ana umri wa

miaka mingapi? Je anaumwa tangu lini huyo Shangazi yako hayo maradhi? Je ameshatumia Dawa gani? Sabu za

Matatizo ya kuumwa na viungo mwilini zipo nyingi mojawapo hiz hapa chini.

Causes of joint pain include:


Adult Still's disease
Ankylosing spondylitis
Avascular necrosis
Bone cancer
Broken bone
Bursitis
Complex regional pain syndrome
Dislocation
Fibromyalgia
Gout
Hemochromatosis
Hypothyroidism (underactive thyroid)
Juvenile rheumatoid arthritis
Leukemia
Lupus
Lyme disease
Osteoarthritis
Osteomalacia
Osteomyelitis
Paget's disease of bone

Pseudogout
Psoriatic arthritis
Reactive arthritis
Rheumatoid arthritis
Rickets
Sarcoidosis
Septic arthritis
Sprains and strains
Tendinitis.

Na Mwambie aende kununuwa Dawa ya inayoitrwa Vitamin A awe anakula kila siku huenda ikamsaidia ,na pia awe anakula chakula hiki kila siku asikose kimojawapo kati ya hivi: mayai, maziwa ya ng'ombe, cream, jibini, samaki, mboga za majani ya aina yote ile na matunda ya aina yoyote yale.

Dawa ya kienyeji Changanya kijiko kimoja cha unga wa Habbat- sauda na asali safi ya nyuki awe anakula kila siku kutwa mara 3 kwa muda wa siku 7 atapona inshallah.
 

ana miaka 25..

hajawahi kwenda hospitali,eti anaogopa walimwambia kuumwa joints i dalili ya HIV..

HAAWAHI KUTUMIA DAWA YOYOTE ILE,.

OMBI::waweza kunifafanulia hayo magonjwa kwa kiswahili mkuu.? MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…