Msaada: Maumivu ya kichomi upande wa ziwa la kulia

Husna Muba

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
14,524
Reaction score
44,577
Habarini wakuu naomba msaada wakitaalamu kuna kitu kinachoma kifuani upande wa ziwa la kulia linavyochoma ni kama kichomi ila nashindwa kukiita kichomi kwasababu kipo kifuani na sio mbavuni.

Msaada wakuu
 
Mkuu amplify vizuri symptoms zako how pain is,severity,radition of ur pain,factor associated which increase the severity or reduce it also how pain affected by inspiration and expiration duration of pain any medication received yet smoking and others
 
Pole niliwahi kupata kichomi kama hivyo na wakati mweingine mgongoni nikaenda hospitali wakasema gesi imezidi wakanipa dawa nikapona kabisa (nilitumia Nexium 40 kama sijakosea splelling)
 
Nenda ukapime Madonda ya tumbo, kayapime kwenye damu na choo then ukipata majibu nenda hospital ukamsikilize doctor
 
Sijaambua hata kimoja hapo ndugu yangu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Pole. niliwahi kupata kichomi kama hivyo na wakati mweingine mgongoni nikaenda hosp wakasema gesi imezidi wakanipa dawa nikapona kabisa (nilitumia Nexium 40 kama sijakosea splelling)
Oooho yaa hata mgongoni imewahi kunitokea aisee

Asante ndugu
 
Habarini wakuu,

Naomba msaada wakitaalam
Kuna kinachoma kifuani upande Wa ziwa LA kulia
Kinavyochoma ni km kichomi ila nashindwa kukiita kichomi coz kipo kifuani na sio mbavuni
Msaada wakuu
wewe ni wakike au wakiume,ilitufanye analysis kupitia human factors
 
Kifuani tu upande Wa ziwa LA kulia na Mara moja moja mgongoni upande huo huo
What’s Causing Pain in the Right Side of My Chest?
Is this cause for concern?
Pain in the right side of your chest can happen for a number of reasons, but most chest discomfort isn’t related to your heart. In fact, chest pain on your right side typically isn’t the result of a heart attack. For woman is likely to be a teat cancer.

Your chest is home to other organs and tissues that may be inflamed or injured, causing you to feel pain. Any aches you feel are most likely due to muscle strain, infection, stress or anxiety, or other conditions unrelated to your heart.

Keep reading to learn what that may be behind your symptoms and when you should see your doctor.
 
Hebu nitafasirie banaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…