Msaada, maumivu ya kifua

mduirwa

Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
35
Reaction score
11
kifua kuuma wakati huo kukohoa sikohoi na maumivu huwa nayasikia pindi nikiwa nimekaa nimetulia lakini wakati na kazi au busy huwa siyasikia na titi la kuxhoto huwa panauma na mara pengine mkono wa kuxhoto na ukikandamiza kifua kwa nguvu kinauma. tafadhar anayejua dawa ama aina ya ugonjwa, uxhaur naomb anipe
 
Pole umewahi kwenda Hospitali au umeanzia hapa kwanza.
 
1. Pima BP
2. Check ECG
3. Pima damu kama kuna electrolytes zinazidi mwilini au kupungua
4. Inawezekana ume stretch out skeletal muscles za kifuani. Zinauma sana na maumivu hudumu hata kwa siku saba. Hili linatibika lenyewe lakini maumivu yaweza kupozwa na paracetamol.
 
Reactions: J C
Kwa sasa ugonjwa huu naona umeingia kwa kasi . vizuri hudhuria hospital kwa uchunguzi zaidi.
 
Unamatatizo ya kichomi sio kifua
 
na kipindi cha barid hasa usiku nd kinauma xana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…