Wana jf mnisaidie nini kisababishi cha
Maumivu ya korodani rafiki yangu anasumbuliwa ni wiki ya pili sasa.
Kipima damu na mkojo yukosafi so
Tunaomba msada wenu
:hand:
Hivyo alipima kwa kuelekezwa au aliamua kujipima tu halafu unakuja kutuuliza hapa kwani sisi ni madaktari.
Wana Jamii Forums.
Mnisaidie nini kisababishi cha maumivu ya korodani rafiki yangu anasumbuliwa ni wiki ya pili sasa.
Kapima damu na mkojo yukosafi.
Tunaomba msaada wenu.
Kuna madaktari, MDs, humu JF, kuna wasomi lukuki wa hali ya juu, sijui wewe!!!!!!!!!!!!!
Mzee hii kitu huwa inasababishwa na mambo mengi - na kuna factors nyingi za kuangalia hata kabla ya kupima. Pia vipimo vipo vya damu au physical examination ya hizo ndude!
Kama wewe au rafiki yako mnnaogopa - na hasa kama hakuna sababu obvious inayoeleza sababu ya maumivu basi mwone doctor!
* Sio mara zote maumivu yanaashiria uwepo wa kitu kibaya.
Ndio maana nilimuuliza kama kaenda kupima hiyo damu na mkojo, alikwendaje kupima bila ya kumuona daktari? Halafu anakuja kuleta sijui ndio mada au hoja humu jf. Si kila jambo unauliza tuu bila ya kufuata utaratibu.
Kama unaumwa unamuona dakitari, unachukua vipimo wanavisoma halafu unapata ushauri. Sasa mtu mpaka una umri wa kuweza kuandika kwa kutumia tekinolojia halafu haujui utaratibu wa kujitibu?
Wakati mwingine huwa najiuliza hivi nyinyi mnaojiita wasomi mnadhani kila kitu utapata jibu kwa kuandika andika tu. Acha uvivu nenda hospitali!