usikumnene
Member
- Apr 23, 2017
- 81
- 108
Usikumnene, ktk kumbukumbu zako, kabla ya maumivu hayo kuanza, nn kilitokea ?
Je maumiv haya yanasambaa mpaka mabegan shingon?
Yanashuka mpaka mbavun??
Vipi unapovuta hewa ndan au kuitoa nje kwa nguvu nayo yanaongezeka???
Embu fanya kama unakohoa , yanaongezeka au ??
Mapigo ya moyo yako sawasawa au unadunda isivyo kawaida????.
Ukiwa unajitafakar, nunua dawa (vidonge) inaitwa Ibuprofen meza 2 kila baada ya masaa nane .
PM kwa msaada zaid.
Aahhh sasa kuna shida ambayo kitaalam inaitwa costochondritis inatokea endapo Cartilage zinazounganisha mbavu kwenye huu mfupa wa maziwan (sternum) kupata injury , nahii injury inaeza kua ni ya kiphysical tu mfano umepata Trauma au umepata infection .Mapigo ya moyo yapo kawaida tu, sehemu inayouma ni katikati ya kifua usawa Wa maziwa.
Nikivuta pumzi napata maumivu na nikilala ubavu na kifudifudi napata maumivu sana.
Nashukuru kwa ushauri wako wa sawa ngoja niende pharmacy. Thanks
Aahhh sasa kuna shida ambayo kitaalam inaitwa costochondritis inatokea endapo Cartilage zinazounganisha mbavu kwenye huu mfupa wa maziwan (sternum) kupata injury , nahii injury inaeza kua ni ya kiphysical tu mfano umepata Trauma au umepata infection .
Ndio sababu ukilalia kifua ,mbavu ,kupumua unapata maumivu.
Sasa meza izo dawa hapo juu, ni , dawa nzuri kwa kupambana na maumivu pamoja na inflamesheni
Kama utakoswa hizo, Nunua Aspirin
NB..maumiv yasipopata ahueni, basi Mzee baba, jongea Hosp!!.
Pamoja sana Mkuu !!Ubarikiwe sana Carlos The Jackal
Pamoja sana Mkuu !!
Asante kwa maelezo yako mkuu... Nami umenisaidia mahali, namimi hii shida imenisumbua nikaenda hospital wakanipa vidonge vya maumivu.Aahhh sasa kuna shida ambayo kitaalam inaitwa costochondritis inatokea endapo Cartilage zinazounganisha mbavu kwenye huu mfupa wa maziwan (sternum) kupata injury , nahii injury inaeza kua ni ya kiphysical tu mfano umepata Trauma au umepata infection .
Ndio sababu ukilalia kifua ,mbavu ,kupumua unapata maumivu.
Sasa meza izo dawa hapo juu, ni , dawa nzuri kwa kupambana na maumivu pamoja na inflamesheni
Kama utakoswa hizo, Nunua Aspirin
NB..maumiv yasipopata ahueni, basi Mzee baba, jongea Hosp!!.