Msaada maumivu ya nyonga ninapokaribia hedhi

PAMAGE

Senior Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
150
Reaction score
85
Mimi nasumbuliwa sana na tatizo la maumivu ya mifupa hasa nyonga mara nyingi ninapokaribia period na wakati mwingine maumivu yanakuwa muda mrefu hadi miezi miwil zaidi ni kupungua kwa maumivu tu ndani ya kipindi hicho tatizo hilo lilianza rasmi mwaka 2011 july.

Baada ya kupewa dawa hosptal aina doxixalyne kutokana na tatizo la maumivu makali wakati wa period nakumbuka doze ilikuwa ni ya cku 10 ila kufikia cku ya 4 tu ckuweza kusimama wala kugeuka kitandani ilikuwa mtihani.

Nilipowasiliana na Dr alinizuia kuendelea na dawa hizo hivyo nikaanza kuhangaika na tiba mbalimbali za kutatua tatizo ila mara nyingi napata nafuu ya muda mfupi tu tatizo linarudi
msaada wenu plz je hili ni tatizo gani? na nini suluhisho?
 
pole sana dada angu,
suluhisho la tatizo lako lipo kama utaamini na utakuwa tayari,
kuna hiki kimiminika kinaitwa Trevo, kazi yake kubwa ni kuondoa sumu mwlilini na kujenga seli za mwili,hivyo basi kutokana na sumu hiyo iliyoingia ndani ya mwili wako baada ya kutumia madawa na pia tatizo ulilonalo Trevo itakusaidia sana.

SOMA HAPO CHINI UTAELEWA ZAIDI
Trevo ni kirutubisho chenye viungo 174 ambavyo vinatokana na mimea, mbogamboga na matunda na madini asili.
Kirutubisho hicho kimetengenezwa Marekani na Billionaire aitwaye Mark Steven na Mkewe Holli
Trevo ina nguvu tatu Renew, Revive na Restore Seli za mwili
Mchanganyiko ulioko ndani ya Trevo unaipa nguvu kubwa Sana ya kutoa sumu mwili kwakuwa inakuwa na antioxidant kubwa Sana kupambana na maradhi mbalimbali ndani ya mwili Wa mwanadamu hivyo basi inasaidia yafuatayo;
1. Kisukari
2.Kansa
3.Presha
4.Magonjwa ya macho
5.Magonjwa ya Ngozi
6.Changamoto za kukosa watoto kwa wanaume na wanawake
7.Matatizo yote ya kipindi cha hedhi kwa wan awake
8.Kuongeza CD4 haraka Kwa wanaoishi na virusi vya ukimwi
9.Magonjwa ya Moyo
10.Kupooza/stroke
11.Watoto wasiopenda kula
12.Asthma
13.Allergy
14.KUPUNGUZA UZITO
15.kutoa sumu mwilini kwa hali ya juu sana kwa kiwango cha ORAC cha 373000 antioxidant
16. Changamoto ya kubalance homoni za mwili kwa wale wanawake wanaopata mimba bila mpangilio
17 .kuleta brain focus(kutoa stress)
18.kukupa usingizi unaostahiki bila kuamka na uchovu
19.kuwapa umakini wa akili watoto ktk ukuaji wao
20.vidonda vya tumbo
21.mifupa na joints kwa wale wenye umri mkubwa
22.matatizo ya mgongo
23.Kuimarisha na kukuepusha na maradhi hapo juu na mengine mengi sana.

Kuna shuhuda nyingi sana kuhusu magonjwa mbali mbali na ni kipindi kifupi tuu ilivyo ingia hapa tanzania!

Pia trevo imethibitishwa na mashirika makubwa ya afya duniani.. kama. KOSHER, HALAL, VEGETARIAN, ORAC
Piga au WhatsApp 0767819395 au nipm.
 
hongera kwa kututangazia biashara, sidhani kama umejibu swali la "je hili ni tatizo gani?"
 
Je umeshazaa? Nione mimi nipate kukutibia upate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…