tindikalikali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,854 Reaction score 1,129 Sep 3, 2011 #1 Hellow JF, Nasumbuliwa na maumivu ya shingo toka juzi. Sijajua sababu ni nini, mwanzo ilikuwa kichwa, ukafata mgongo na sasa shingo, mwenye kujua tiba yake naomba msaada.
Hellow JF, Nasumbuliwa na maumivu ya shingo toka juzi. Sijajua sababu ni nini, mwanzo ilikuwa kichwa, ukafata mgongo na sasa shingo, mwenye kujua tiba yake naomba msaada.