Msaada maumivu ya tumbo

Msaada maumivu ya tumbo

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
239
Reaction score
131
waungwana habari
kama kichwa kinavyosema kiukwel nasumbuliwa sana na tatizo hili la tumbo kias kwamba nakosa raha ya kujiisi ni mzima wa afya ..Nasema hiv kwa sababu maumivu haya ya tumbo si kwamba yananizuia kufanya kazi zangu la hasha ila ni maumivu ambayo kwa hali ya kawaida siwezi kujiitab mzima coz nasikia haya maumivu japo ni ya kawaida si ya kutesa sana

Nilikwenda hospitali wakanipa dawa iitwayo LOCID SUNSPENSION
Na nikajawa na matumain kwmba nimalizapo dawa hyo basi maumivu ya tumbo yatakata kabisa lakin hali ikawa tofaut yani nilimaliza doz ile lkn hali ilijiludia kama kawaida
Nikaona bora nitumie dawa ya GESI labda yaweza ikawa ni tumbo limejaa GESI lakin wapi nimetumia dawa hizo za gesi na hali bado inanisymbua

JINSI TUMBO LINAVYOUMA


Mda ambao nitakuw nimekaa yani nmetulia labda naangalia tv au muvi yoyte na hata pia labda nmekaa na washkaji hapo huwa linauma kias kwamba huwa naona kma kero ssa

Nikiwa natembea sehem moja kwenda nyingine yan kwa kifupi nikiwa natembea basi tumbo huwa haliumi kabsa

Nikiwa nakula chakula tumbo haliumi ila nikimaliza kula tuu chakulaa nakaa mda mfupi kazi naanza kuiona mpka nikawa nafikiri lbda nikila chakula inaweza ikawa ndio sababu nikaamua kuanza kutumia maziwa na chakula kidgo lkn hii haikusaidia kitu

Nikiamka asubuhi tumbo huwa haliumi kabsa kias kwamba huwa nadhani naweza nikawa nimepona lkin nitakaa kwa mda fulani wa massa mawili au matatu hali inaanza upya kuuma

Nikinywa maji kwa wingi maumivu nayo hupungua kwa kias fulan na kuwa ya chin kidgo na kunifanya nijiis afadhari amabapoo hii ssa ndo imekuwa kma njiaa yangu yan naweza nikanywa maji ya 600 hata 20 kwa siku ilimradi tuu nikate hii shida ninayoipata na niweze kuendelea na mambo yangu


NB sio maumivu makali sana kma ya kichomi ila naisi inaweza ikawa moja ya dalili mojawapon ya ugonjwa wwte hvy anaefaham naomba aniambie au hat kuniambia huu waweza kuwa ni uogonjwa gani mna unanikosesha raha kabisa ............NAWASILISHA
 
Pole sana mkuu. Matabibu watakuja kukusaidia njia mbadala ya kufanya. Maumivu ni maumivu ht kama ni madogo kiasi gani..
 
Back
Top Bottom