Msaada: Maumivu ya uso

Husninyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
23,851
Reaction score
9,472
Habari zenu wote wandugu. Mwenzenu nasumbuliwa na maumivu ya uso siku ya tatu leo.
Kuna yeyote anaweza kujua inatokana na nini na namna ya kutibu.

Husninyo pole dear... Unapaka mafuta/cream gani siku zoote??
Au labda niulize unatumia cream/lotion mpya (hujawahi tumia)
Au labda uko maeneo mageni (hali ya hewa...)

pole dear.....huu uso unataka kuleta balaa sasa....hebu sema unaumaje na ni sehemu gani hasa tuushughulikie....

Husninyo pole dear... Unapaka mafuta/cream gani siku zoote??

Au labda niulize unatumia cream/lotion mpya (hujawahi tumia)

Au labda uko maeneo mageni (hali ya hewa...)

ahsante mpenzi. Huwa napaka bio oil na sabuni natumia silka ni kwa muda mrefu sasa. Kuhusu mazingira nilitoka dodoma to mwanza ila kwasahv nipo tena dodoma.

Pole sana Husninyo.... pole sana nime-google na kuona information fupi .

Source: Face pain: MedlinePlus Medical Encyclopedia

pole dear.....huu uso unataka kuleta balaa sasa....hebu sema unaumaje na ni sehemu gani hasa tuushughulikie....

yaani, reception inataka kuharibika. Lol.
Naumia wakati wa kuoga na nikimaliza kuoga nikishajifuta maji nakuwa napauka sana kwenye paji la uso. Nikipaka mafuta hata kama ni kidogo baada ya muda paji la uso linakuwa na ngozi fulani ya tofauti halafu panakuwa panang'aa. Maumivu ni kwenye paji na shavu la kushoto.

ahsante mpenzi. Huwa napaka bio oil na sabuni natumia silka ni kwa muda mrefu sasa. Kuhusu mazingira nilitoka dodoma to mwanza ila kwasahv nipo tena dodoma.

Husny naona VOR kamaliza.... Best wishes and get well soon.

Pole sana Husninyo.... pole sana nime-google na kuona information fupi .

Source: Face pain: MedlinePlus Medical Encyclopedia

ahsante VOR, bora nikaonane na dokta maana naogopa kufanya chochote nisije haribu.
Ahsante.

hizi ni side effect za make up za kichina, usimtafte mchawi!

maumivu yakizidi, nione mimi.

hizi ni side effect za make up za kichina, usimtafte mchawi!

maumivu yakizidi, nione mimi.

sijaruhusu kuchakachua sredi la ugonjwa. Kanisubiri chit chat nakuja.
Ahsante kwa kuwa msikivu.

Pole mwaya. kwa ushauri uliopewa kumbuka kuturudishia majibu baada ya matibabu maana ni somo kwa wengine pia. pona haraka.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…