NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Hapana Mkuu,nataka kuzungumza nao nione jinsi naweza kufanya biashara nao,nahitaji kuwa nanunua kwao mzigo nakuja kuuza Dar es salaam.Unawadai?
Nakushauri uende ukikosa mawasiliano yaoHapana Mkuu,nataka kuzungumza nao nione jinsi naweza kufanya biashara nao,nahitaji kuwa nanunua kwao mzigo nakuja kuuza Dar es salaam.
Hivyo ninahitaji kabla sijasafiri kwenda huko nipate mawasiliano yao angalau nifanyenao mazungumzo ya awali.
Asante sana Mkuu,Naendelea kusaka mawasiliano yao.Nakushauri uende ukikosa mawasiliano yao
Umbali wa kutoka nilipo mpaka Kapunga nauli haiwezi zidi 15,000 go and return.Asante sana Mkuu,Naendelea kusaka mawasiliano yao.
Shukrani Mkuu,hii ni option nzuri zaidi.Umbali wa kutoka nilipo mpaka Kapunga nauli haiwezi zidi 15,000 go and return.
kama kuna kuaminiana tuwasiliane nifike kukufuatia mawasiliano, kukupigia na kukutumia picha za bidhaa.
unaweza kuja inbox
Mkuu,Nakushukuru sana sana kwa moyo wako wa kujitoa kwa ajili ya wengine.kwa hakika umeacha shughuli zako ukasafiri kwa ajili ya jambo langu hili.Hakika JF ni nyumbani.Umbali wa kutoka nilipo mpaka Kapunga nauli haiwezi zidi 15,000 go and return.
kama kuna kuaminiana tuwasiliane nifike kukufuatia mawasiliano, kukupigia na kukutumia picha za bidhaa.
unaweza kuja inbox
+255 684 221 308 Nasser Mansoor
Huyu ni mwanasheria wao mpigie mwambie naomba unisaidie namba ya Sunil wa Kapunga .
Ukimpata Sunil utakuwa umekata kiu yao.
Asante sana Mkuu,Naendelea kusaka mawasiliano yao.