zabron k JF-Expert Member Joined Nov 11, 2015 Posts 943 Reaction score 1,107 Jan 28, 2023 #1 Habari ya leo Ninataka kutotolesha mayai ya bata wa kisasa kwenye Incubator iliyonunuliwa mwezi uliopita kutoka kampuni ya Kitanzania. Naomba kujua joto na unyevu kwa mayai ya bata ndani ya incubator linatakiwa kuwa kiasi gani? NB- Mayai nitachukua kwa mdau mwenzetu anayefugia Chanika DSM
Habari ya leo Ninataka kutotolesha mayai ya bata wa kisasa kwenye Incubator iliyonunuliwa mwezi uliopita kutoka kampuni ya Kitanzania. Naomba kujua joto na unyevu kwa mayai ya bata ndani ya incubator linatakiwa kuwa kiasi gani? NB- Mayai nitachukua kwa mdau mwenzetu anayefugia Chanika DSM
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Feb 15, 2023 #2 Sorry bata wa kisasa ndio bata gani hao hebu tuwekane sawa kwanza.
zabron k JF-Expert Member Joined Nov 11, 2015 Posts 943 Reaction score 1,107 Feb 18, 2023 Thread starter #3 Zemanda said: Sorry bata wa kisasa ndio bata gani hao hebu tuwekane sawa kwanza. Click to expand... Bata Bikini Bata Mallad Moscow Perkin
Zemanda said: Sorry bata wa kisasa ndio bata gani hao hebu tuwekane sawa kwanza. Click to expand... Bata Bikini Bata Mallad Moscow Perkin
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Feb 18, 2023 #4 zabron k said: Bata Bikini Bata Mallad Moscow Perkin Click to expand... Indian Runner Khaki Cembo
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Feb 18, 2023 #5 Ngoja Wataalam Waje Nami Nipate Maarifa Nina Pekin Wanataga Sasa Wale Hawaltamii. Nawaza Kumpa Bukini Anayetaga Maana Yule Huwa Anaatamia
Ngoja Wataalam Waje Nami Nipate Maarifa Nina Pekin Wanataga Sasa Wale Hawaltamii. Nawaza Kumpa Bukini Anayetaga Maana Yule Huwa Anaatamia
zabron k JF-Expert Member Joined Nov 11, 2015 Posts 943 Reaction score 1,107 Feb 19, 2023 Thread starter #6 Nimefanikiwa Attachments IMG_20230213_172506_780.jpg 49.5 KB · Views: 40
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Feb 19, 2023 #7 zabron k said: NimefanikiwaView attachment 2522717 Click to expand... Hongera Sana Nategemea Baada Ya Mwezi Utakuwa Na Vifaranga Wengi Sana Pekin , Mallard, Indian Runner Baada Ya Miezi 6 Hao Wataanza Kutaga Chap Nina Pekin Wao Wanataga Tu Wakipumzika Siku Chache Wanaendelea
zabron k said: NimefanikiwaView attachment 2522717 Click to expand... Hongera Sana Nategemea Baada Ya Mwezi Utakuwa Na Vifaranga Wengi Sana Pekin , Mallard, Indian Runner Baada Ya Miezi 6 Hao Wataanza Kutaga Chap Nina Pekin Wao Wanataga Tu Wakipumzika Siku Chache Wanaendelea
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Feb 19, 2023 #8 Zemanda said: Sorry bata wa kisasa ndio bata gani hao hebu tuwekane sawa kwanza. Click to expand... Wana rangi ya blue
Zemanda said: Sorry bata wa kisasa ndio bata gani hao hebu tuwekane sawa kwanza. Click to expand... Wana rangi ya blue
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Feb 19, 2023 #9 Zemanda said: Sorry bata wa kisasa ndio bata gani hao hebu tuwekane sawa kwanza. Click to expand...