chrisman49
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 352
- 77
Kaatamia 10 vimetoka viwili tu mkuu,mengine yameharibikaYameatamiwa yataharibikaje?? Temperature ya yai kuhatch ni nyuzi joto 35 paka 40.5 za C, sasa joto la dar linazidi 40?
Shida ni hao kuku wako sio joto, kuku kuatamia mayai anahitaji akili ya ziada kuyalea kama kuku hana hiyo akili mayai lazima yaharibike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta kuku mwingine. Mimi pia mfugaji wa kuku mkuu, kuna kuku ambao huwa siwaruhusu kabisa kuatamia bora nile mayai.
Nashukuru sana kwa ushauri mkuuTafuta kuku mwingine. Mimi pia mfugaji wa kuku mkuu, kuna kuku ambao huwa siwaruhusu kabisa kuatamia bora nile mayai.
Sent using Jamii Forums mobile app