Wadau.. Hii ni mbegu ya mahindi ambayo niliichukua kwa rafiki yangu
Lakini yeye hajui ni aina gani hakumbuki kifupi. Mimi nimepata kujua ni mbegu bora ya mahindi, lakini ni aina gani hasa kitaalamu sababu wadau wengi wananiulizia jina lake wameipemda.