Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
Habari za muda wandugu na poleni kwa majukumu ya kila siku, nikiwa kama ndugu rafiki au jamaa pengine yaweza kuwa msaada kwa ndugu yangu huyu.
Matatizo ya kutokwa na damu puani hutokea tu punde amalizapo kula nyama sana sana ya ng"ombe! Hospital amehudhuria mara kadhaa bila mafanikio dawa anazopewa hazina msaada kwake, mara ya mwish kutumia alimaliza na kukaa miezi kadhaa kujipima lakini alipokula tuu safari hii ikawa damu nyingi ilotoka puani! angalau nafuu yake anasema hadi akichoma kitu chenye kutoa moshi ndo anapata nafuu.
msaada kwa anayefahamu tatizo hili au ana historia nalo tu shee mawazo yaweza kuwa msaada!
Natanguliza shukrani zangu kwenu.🙏