Negrodemus
JF-Expert Member
- Dec 30, 2010
- 2,318
- 684
Wanajamvi naombeni msaada wenu mdogo wangu wa jinsia ya kike katumia dawa za mseto kumbe alikuwa na mimba ya wiki tatu yeye hajui sasa amekua akilalamika tumbo kwa zaidi ya wiki mbili sasa toka katumia dawa
Leo kaenda hospital kafanyiwa utra sound wanadai kuna bonge la damu kwenye kizazi je hilo bonge la damu ni mimba bado ipo au mimba imetoka na kama imetoka anasema hajableed kabisaa kuna dokta nimeongea nae anasema mpaka asafishwe sasa mimba ya miezi huwa inasafishwa.
Msaada wenu wadau mimba itakua bado ipo?
Pili kama imetoka mbona hajableed?
Tatu amekaa zaid ya wiki mbili atakuwa ameathirika au kudhurika?
Kuna dawa inaweza kutumika bila ya kisafisha kizazi? Kama ipo inaitwaje na gharama zake please..
Nawasilisha