Msaada; Mechanical & Technical Problem(s) za Toyota Passo

Passo kwenye utumiaji mdogo wa mafuta ziko vizuri bt zina tatizo la stearing rack ikiisha inagonga sana na hazina guarantee hata ukibadili. Stearing Rack pale ilala zinauzwa kati ya 250,000/= mpaka 300,000/= hapo ndo balaa ilipo.
 
Hapo sawa na tatizo sterling rack yake zina bushi sasa hizi bushi ndio zinalika zinaisha zikiisha ndio kimbembe maana kununua nyingine ni gharama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…