Msaada: Meno Kulegea bila kuwa na maumivu

Msaada: Meno Kulegea bila kuwa na maumivu

mizambwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2008
Posts
4,422
Reaction score
1,791
Wadau,

Mimi binfsi nina tatizo ambalo naona limeanza wiki moja sasa.

Jino moja (Premolar)lilianza kulegea (linatingishika) lakini halina maumivu labda ulitingishe au nitumie upande huo kutafuna kitu kigumu.

Leo naona na jino lingine (Incisor)nalo linalegea. Lakini pia yote hayana maumivu. Na yote ni ya upande wa chini.

Wadau Naomba msaada nini tatizo.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Uzee mkuu huo.


Mkuu,

Kw kweli hatuwezi kuukwepa. Lakini sasa meno mawili kwa pamoja, sura itakuwa inatisha.

na nina mashaka isiwe kuna tatizo hvyo yakapotea na mengine.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
nenda wakusafishe meno yote yawezekana uchafu kwny fizi umekua mwingi na kusababisha bacteria ambao hushambulia mishipa ya jino ndo mana inatokea ivyo
 
Back
Top Bottom