Msaada meno yangu yametoboka yanauma sana:

Joined
Jun 18, 2017
Posts
13
Reaction score
3
Hello DC,,, ni miez kadhaa sasa nasumbuliwa na meno magego (kulia na kushoto) hasa ninapokula chakula nahc yametoboka Naomba ushauri na msaada tafadhali maana inafika wakati nakichukia chakula hasa nyama wakati mwingine hata matunda maana mabaki yanaumiza meno.
 
Uko wapi? Hindu Mandal kuna mtu anaitwa Dr. Kenneth. Yupo sawa ktk meno.
 
Nenda hospitali kama ulivyoshauriwa. Meno mengine ni kung'oa, mengine kuziba na mengineyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…