Msaada meno yangu!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Meno yanakuwa kama yanavutana napata sana maumivu msaada jama nifanyaje?
 
Pole sana kwa tatizo hilo. Nakushauri uende hospital moja kwa moja kuliko hapa jf japo tayari umeshapresent tatizo lako.
 
Nilishauliwa nichemshe mdarasini lakini bado nasumbuliwa msaada plz!
 
Nilishauliwa nichemshe mdarasini lakini bado nasumbuliwa msaada plz!

Msaada wa haraka sana huu hapa

1. Trust me
2. Tafuta turatura Au ndura kwa jina lengine
3. pasua then mbegu mbegu zake zichanganye na mafuta ya taa kidogo
4. Tafuata pamba lowanisha chaganya changanya then bandika kwenye meno

Tatizo la meno litakuwa historia kwako, hiyo dawa inafanya kazi ndani ya dk 5 tu.

Note: make sure humezi hiyo dawa.

Na kwa mkoa wa dar sizani kama hayo matula tula yapo mimi nilitumia nikiwa mbeya
 
Mh nahsi kuumia kichwa hospitari wanasema wanipunguze meno ya taya la chini yaliyo mbele yanayonisumbua ili yasigusane na ya juu! Jama kama kuna dentist anisaidie maana nimeondoka hospitali nijifikirie vizuri kichwa kinaniuma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…