Nina ndugu yangu anaomba mkopo online kila akiingiza M PESA ID yake sehemu husika inamwambia invalid ID wakati kwenye simu inaonekana imetumwa kwao. Afanyeje.
Hapo tatzo n kwamb, iyo ID haijawa submitted to Heslb so inachukua mda kidogo kitu kama 2,3 hours au wakat mwingne hua ni siku nzima. So wait kidogo afu ujaribu tena. Ni hayo2