Msaada meseji hii "3people are inquiring this vehicle" BEFOWARD inamaana gani?

Msaada meseji hii "3people are inquiring this vehicle" BEFOWARD inamaana gani?

msemakweli2

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
1,627
Reaction score
1,880
Msaada wajamen,nataka kuagiza gari,nimeshalichagua katika kampuni ya BE FORWARD, katika kuperuzi nimeona mahala wameandika "3people are inquiring this vehicle" msaada kwa mliowahi kuagiza magari kupitia kampuni hii.
 
msaada wajamen,nataka kuagiza gari,nimeshalichagua katika kampuni ya BEFOWARD,katika kuperuzi nimeona mahala wameandika "3people are inquiring this vehicle" msaada kwa mliowahi kuagiza magari kupitia kampuni hii
Hiyo itakua ni kampuni ya Matapeli. Kampuni husika inaitwa BE FORWARD
 
Watu watatu wametaka/omba maelezo kuhusu hilo gari.
 
Watu Watatu Wameorder Hilo Gari,kuwa Wakwanza Kupata
 
Msaada wajamen,nataka kuagiza gari,nimeshalichagua katika kampuni ya BE FORWARD, katika kuperuzi nimeona mahala wameandika "3people are inquiring this vehicle" msaada kwa mliowahi kuagiza magari kupitia kampuni hii.
Watu watatu wameomba kupata taarifa ya gari mf gharama nk lakini wanakuwa bado hawajafikia makubaliano.Wakikubaliana utaona gari itakuwa under offer na akishalipia utaambiwa sold.Done deal
 
Back
Top Bottom