msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
Hiyo itakua ni kampuni ya Matapeli. Kampuni husika inaitwa BE FORWARDmsaada wajamen,nataka kuagiza gari,nimeshalichagua katika kampuni ya BEFOWARD,katika kuperuzi nimeona mahala wameandika "3people are inquiring this vehicle" msaada kwa mliowahi kuagiza magari kupitia kampuni hii
HAHAHAAAAAHiyo itakua ni kampuni ya Matapeli. Kampuni husika inaitwa BE FORWARD
Watu watatu wameomba kupata taarifa ya gari mf gharama nk lakini wanakuwa bado hawajafikia makubaliano.Wakikubaliana utaona gari itakuwa under offer na akishalipia utaambiwa sold.Done dealMsaada wajamen,nataka kuagiza gari,nimeshalichagua katika kampuni ya BE FORWARD, katika kuperuzi nimeona mahala wameandika "3people are inquiring this vehicle" msaada kwa mliowahi kuagiza magari kupitia kampuni hii.