Yuda Iscariot
Member
- Mar 2, 2017
- 71
- 161
Ooh! Vipi, unaweza ukanielekeza jina na namna ninavyoweza kupat huduma ya hicho chombo ndugu. Nitashukuru sanaHakuna metal detector ya uwezo huo ila kuna chombo kingine kinachotumika kukagua miamba na kuinyesha umbali na ukubwa wa stock ya dhahabu nk
Hongera sana kiongozi. Vipi, katika kuwapimia watu kuna ambao walishapata mzigo kwenye umbali ambao mashine ilionyesha? Na nasikia zinaonyesha na kiasi cha mzigo unachoweza kupata, hilo nalo ni kweli? Sorry kwa maswali mengi,Katafute GPX 3000 ao GPX 2020. izo zitakufaa sana. mimi ninazo ila nimepeleka congo zinapiga kazi huko.
nukta
dOoh! Vipi, unaweza ukanielekeza jina na namna ninavyoweza kupat huduma ya hicho chombo ndugu. Nitashukuru sana