Msaada: Mfanyakazi kukatiwa bima ni lazima au hiari?

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,559
Habari wakuu,

Naomba kufahamu, je mfanyakazi kukatiwa bima ya afya ni lazima ama ni hiari ya mwajiri? Hatuna bima ya afya kazini kwetu hivyo napenda kujua ili nijue cha kufanya.

Natanguliza shukrani kwenu wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…